Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wanaJF
Kuna umuhimu wa kuogea sabuni yenye harufu nzuri tena ambayo mpenz wako anaipenda, ama waweza kuogea sabuni yoyote hata Omo ilimradi uwe umeoga?
Nimeuliza hivi kwasababu sabuni hazipewi vipao mbele kama perfume na lotion. Kuna sabuni zingine ukiogea hata kama umejispry perfume, bado utasikia harufu yake, sasa ukikuta harufu yake siyo nzuri!
Mjulishe mpenz wako ungependa aogee sabuni ya aina gani ambayo unaipenda sana harufu yake.
hivi kuna sabuni ambayo ikiingia kwenye macho hayaumi au hii ni zaidi ya zote?
Mpango wa vikolezo vya kufanya mwili unukie kwa wengine ni kero. Bora wengine wafurahie kujua sabuni gani inakufaanya usiwe na harufu yo yote ila ubaki nutra ndio mpango mzima.
sanaa tena povu zito, ila likiingia jichoni siku hiyo utaimba ngoma zote za kwenu
aiseeer itabidi nijaribu
Mbuni, jamaa ya kenya mpango mzima
Tetmothol ndio yangu