Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

Wengine hapa hata hela ya kubadilisha mboga tunashindwa wewe unatuletea mambo sijui naogea sabauni gani?

Wewe mtoto wa kishua acha kutudharau bana na kumbuka aliyekupa wewe neema ndiyo kaninyima mm!

Sabuni ya kuogea ni luxury product kwangu yyt ile bafuni ya mpangaji mwenzangu nikiikuta mm natumia
 
Komesha, Komoa, Mshindi na hata Kuku ni Sabuni poa sana kuogea
 
Wengine hapa hata hela ya kubadilisha mboga tunashindwa wewe unatuletea mambo sijui naogea sabauni gani?

Wewe mtoto wa kishua acha kutudharau bana na kumbuka aliyekupa wewe neema ndiyo kaninyima mm!

Sabuni ya kuogea ni luxury product kwangu yyt ile bafuni ya mpangaji mwenzangu nikiikuta mm natumia

pole yako ni maamuzi tu juu ya kipi muhimu kati ya sabuni na MB za kuchat.
 
Napenda sana shower gels kama za Lux, na Dove. Siku nasoak kwenye tub nikitoka humo ngozi kama kitoto halafu nanukiaaa.
 
sijajua mpaka leo ni kwanini nikiogea sabuni ya Oil of Olay kwa maji ya baridi naweza maliza hata ndoo 4.
 
Hahahaaaa! sis umetisha! magwanji kweli? hiyo si ndo mnaitumia kuoshea masufuria bhana? hahahaaa!

Tumia na jamaa ya kenya kama mkuu lyinga.!

Mkuu magwanji yako poa sana... Ukiogea huna haja ya kujipaka mafuta kwani sabuni yenyewe imetengenezwa kwa mabaki ya mafuta ya pamba.

So unapiga two in one....
 
Last edited by a moderator:
kwangu kila mtu anauchaguzi wake wa sabuni lakini kuwa ni dito .....
 
Mkuu magwanji yako poa sana... Ukiogea huna haja ya kujipaka mafuta kwani sabuni yenyewe imetengenezwa kwa mabaki ya mafuta ya pamba.

So unapiga two in one....

tuleteeni na sisi huku Arusha nasi tufaidi kitu natural.
 
Back
Top Bottom