Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

Thank dia
Hii shampoo na conditioner ni za.nywele?du wako full ngoja nihame olive oil
Nilikuwa cjui pia asante sana

Ok nitaendelea kutumia sabuni yake ni nzuri sana

Yah ni shampoo na conditioner kwa nywele. Nzuri sana. Wenyewe wanaita hair therapy. Ziko so healthy. Halafu wanazo kind nyingi for different types of hair.
 
Back
Top Bottom