Unaombaje penzi kwa Mke/Mwenza wako

Unaombaje penzi kwa Mke/Mwenza wako

Mimi: Dada Mambo

Mdada: safi mzima ww

Mimi: Niko poa ila Nina shida na
na ww
Mdada;. Shida gani

Mimi; nakuomba tuunganishe vikojoleo vyetu Kama hauta jali..

NB ,,Ukikutana na demu ambaye yupo serious na maisha fanya [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Shule bado azijafunguliwa tu 🤔
Haraka haraka simameni kwanza hapa

Binafsi nakumbuka nilipo kua olevel nilikua kila dem nikimtongoza ananikatia ila nkakutana na msela akaniambia usiwatongoze wewe wazoee alaf sikumoja mpangee mkatembee alafu baada yamatembezi muombe mkapike mleee mchezo kwishaa.

Mbinu nyingine niliyokua natumia niyakumdanganya dem tukatafte kazii akikubalii nimwendo huo huo.

Je? Wewe mwenzangu unatumia mbinu gani?
 
Mke wangu yeye akitaka utasikia "nimekuja kula tu apa kwako..lakini hata kwetu chakula kilikuepo" au utasikia "nataka niende kijijini nikakae na Mama" Hawa viumbe apo najua anataka kukunwa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom