Edward Mangapi
Senior Member
- Jul 29, 2018
- 126
- 66
Nikimpapasa tu anakuwa mkaliKwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji?
Mi kwangu Simple tu tukiwa kitandani, tumekumbatia au kulala nikimpiga piga paja ile kishkaji pa pa basi anajua jamaa ndio nahitaji mzigo.
Anageuka, romance michezo kadhaa then dushe ndani likacheza na pacha ake. Sijawahi kunyimwa kwa kweli.
Je wewe unaombaje?
kisasa zaid...Emoji ya hivi [emoji97] moja tu mzeeiya anaelewa.
Ye anaulizaga kama nimemiss strawberry lips 'Tequila cream liqueur [emoji39]
alaf unampa mkononi au unatuma posta?Naandika barua siku tatu kabla
Mkuu kwani wewe umeoa lini, wakati kila siku unafanya operation tokomeza bikra pale CBE dom.Kwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji?
Mi kwangu Simple tu tukiwa kitandani, tumekumbatia au kulala nikimpiga piga paja ile kishkaji pa pa basi anajua jamaa ndio nahitaji mzigo.
Anageuka, romance michezo kadhaa then dushe ndani likacheza na pacha ake. Sijawahi kunyimwa kwa kweli.
Je wewe unaombaje?
Inaonyesha unakaa mda mrefu sana bila ya kumpelekea moto ndio maana anakuambia hivyoMke wangu yeye akitaka utasikia "nimekuja kula tu apa kwako..lakini hata kwetu chakula kilikuepo" au utasikia "nataka niende kijijini nikakae na Mama" Hawa viumbe apo najua anataka kukunwa
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kile chama kinakutambua.... Au umejiamulia tu kuchukua sheria mkononi bila kuomba uwanachama...Siombi, najichukulia sheria mkononi...
Postaalaf unampa mkononi au unatuma posta?
Tatizo hiloPosta
πππMke wangu huniambia "ndiyo nalala hivyo. nikilala sitaki usumbufu" najua hapa anataka KAZI
xawPenzi siyo Ombi kwa wanandoa. Tuache uzungu na uhindi. Ni wajibu.
Mimi nikitaka, mkono kiunoni. Anajua mzee hapa anataka huduma.
Nikiwa nimelala, akinishika tu sikio na kunifinya mashavu najua huko kumewaka. Hana haja ya kusema naomba.
Natimiza wajibu. Ni majukumu kama majukumu mengine.
HahahahahahahaKwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji?