Unaombaje penzi kwa Mke/Mwenza wako

Unaombaje penzi kwa Mke/Mwenza wako

Nikiwa mbele za watu, wife akihitaji huniambia VERO AMESEMA UENDE.
Najua mama anataka posho yake.

Nikitaka mimi namwambia wife, amesema anamsuiri mwenzake. Hapo wife anajua tu anahitajika.

Tukiwa chumbani, sisemi lolote ni kuvua tu kufuli na anajua hapa kuna kazi.
Akisema tu masika, najua mambo yake hovyo.
Ndoa wawili mkielewana raha!
 
Raha tena sio kidogo
 
Aseee sawa baba Vero[emoji848]
 
Emoji ya hivi 💦 moja tu mzeeiya anaelewa.

Ye anaulizaga kama nimemiss strawberry lips 'Tequila cream liqueur 😋
Sasa hii imoji unamtumia mkiwa wote mpo kitandani au? Maana nilivyomuelewa mtoa mada, ni kwamba ushafika kitandania na sasa unataka KUDEMKA, unalianzishaje?
 
Back
Top Bottom