Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23]Naweza kutoa buku m-pesa?
[emoji16]
CondomKwa namna moja ama nyingine, kuna baadhi ya mahitaji yanatuwia ugumu kutamka kwa muuzaji mbele ya wateja wengine
Ukimuona mteja anakupisha uhudumiwe kwanza wewe, usidhani nia yake ni kukopa, wengine tumekuja kununua nyara hatari za kiserikali
Kwangu mie kutamka sentensi, "Mangi, nipatie wembe" mbele ya watu, huwa nafikiri watu wananichukulia mchafu. Huwa nahisi kuna kauli ya mteja inamjia kimya kimya ikimwambia "Anaenda kukwatua manyasi"
Pia kununua sabuni ya kipande usiku huwa naona soo, tena mbele ya wateja wengine inakuwa ngumu. Mara mia nitamke Condom
Unajihisi aibu kutamka bidhaa ipi ukiwa kwenye duka lililosheheni wateja?
πππNaweza kutoa buku m-pesa?
π
π€£ alafu waje warembo dukani unaweza ukaikana buku yako.πππ
ππππ€£ alafu waje warembo dukani unaweza ukaikana buku yako.
Kidogo unipotee.[emoji3][emoji3][emoji3]
ππKidogo unipotee.
[emoji23][emoji23]Aki, jumlisha na lile wenge. Yaani unakuwa sawa na mtu aliwekwa ndani ya jokofuNimefika kiduka fulani, nilitaka nikanunue maharage, hiyo ni jioni, nakuta mabinti wawili wazuri sijui wanafanya nini, unafanyaje? Nikauliza una tigopesa? Jamaa kasema hana, nikasema kama shujaa
Siogopi yaani sio shida zangu kabisaaaa. Asiyejua mimi ni mwanamke ni nani? π πNilikuwa naogopa kununua pedi. Hata sasa hivi naogopa ndiyo maana bora niende supermarket nikabebe tu .
Hahahaha umenikumbusha shoga angu mmoja ila yeye kakuzidi ujasiri. Anaenda kununua halafu haifungi wala nini. Atazunguka nayo atapita hata nyumbani kwako kukusalimia kaishikilia mkononi nakwambia.Siogopi yaani sio shida zangu kabisaaaa. Asiyejua mimi ni mwanamke ni nani? [emoji28][emoji28]
Duh huyo balaaπHahahaha umenikumbusha shoga angu mmoja ila yeye kakuzidi ujasiri. Anaenda kununua halafu haifungi wala nini. Atazunguka nayo atapita hata nyumbani kwako kukusalimia kaishikilia mkononi nakwambia.