Unaona aibu kutamka bidhaa ipi mbele ya watu uwapo dukani?

Unaona aibu kutamka bidhaa ipi mbele ya watu uwapo dukani?

Kwa mara ya kwanza nikitamani kumnunulia mchumba wangu chupi enzi hizo ni mchumba nikaenda sehemu wanapouza nikakuta wadada wengi nikapita nikazungukaaaa weeee mpaka nikafanikiwa nilivyompelekea alifurahi sipata kuona utafikiri nimemnunulia IST
 
Hahahaha umenikumbusha shoga angu mmoja ila yeye kakuzidi ujasiri. Anaenda kununua halafu haifungi wala nini. Atazunguka nayo atapita hata nyumbani kwako kukusalimia kaishikilia mkononi nakwambia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ivi mnaujua ugumu wa kusema sukari robo nyie, acheni kabisa. Bora kutoa mpesa buku au kumnunulia mwandani wako pedi.

Eti unga wa ugali nusu na robo, hehehee...
 
Back
Top Bottom