Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
[emoji23][emoji23][emoji23]Kutoa buku m pesa inahtaj ujasiri wa kiwango Cha lami hasa ukikuta pisi kali nazo znasuburi kuhudumiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha umenikumbusha shoga angu mmoja ila yeye kakuzidi ujasiri. Anaenda kununua halafu haifungi wala nini. Atazunguka nayo atapita hata nyumbani kwako kukusalimia kaishikilia mkononi nakwambia.
Utakuwa hujawai kutumwa mafuta ya shilingi 100 wew ukiwa na kopo kubwa lenye masizi ya majivu ya kuni[emoji23][emoji23]Ivi mnaujua ugumu wa kusema sukari robo nyie, acheni kabisa. Bora kutoa mpesa buku au kumnunulia mwandani wako pedi.
Et unga wa ugali nusu na robo, hehehee...
Noma sana mkuuUtakuwa hujawai kutumwa mafuta ya shilingi 100 wew ukiwa na kopo kubwa lenye masizi ya majivu ya kuni[emoji23][emoji23]