Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

Sasa nimemkejeli nani?
Mimi nilicomment nikasema.huwa naona mwanamke mwenye kufanana na bikira Maria una comment kwa emoji ya mshangao, Why? Then ukauliza sura ya bikira Maria nimeiona wapi nikakujibu ile ya kubuni ya kanisa katoliki then una comment kwa emoji ya masikitiko. Maana ake nini hiyo?
 
Mimi naonaga ni mwanamke aliyebeba mtoto huku akimwangalia huyo mtoto kwa huzuni. Mimi pia huwa kuangalia angani ni moja ya starehe yangu pendwa. Napenda sana kutazama kale ka rangi kekundu angani wakati jua likizama au kuchomoza. Au lile wingu fulani lenye umbo la uyoga napenda sana kulitazama.
 
Hakuna kejeli hapo.

Amani, Amani.
 
I wish nichore sura ya mtu huyo iliyoujaza full moon ila Sina uwezo.

Anyway, kutizama uumbaji wa Mungu, ni burudani sana,

Siku moja nikaona kimondo kikipita Kwa Kasi ya ajabu, na haikuwa juu sana,

Kufumba na kufumbua, hakikuonekana tena!!!
 
Mwezi upi huo una mwanaume?miezi yote iwe ya dunia au kwenye space inamilikiwa na wanawake tu
 
Mwezi upi huo una mwanaume?miezi yote iwe ya dunia au kwenye space inamilikiwa na wanawake tu
Who knows,

Labda ni reflection ya jua.

Mimi ndicho nimekuwa nikikiona kitambo sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…