Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

I wish nichore sura ya mtu huyo iliyoujaza full moon ila Sina uwezo.

Anyway, kutizama uumbaji wa Mungu, ni burudani sana,

Siku moja nikaona kimondo kikipita Kwa Kasi ya ajabu, na haikuwa juu sana,

Kufumba na kufumbua, hakikuonekana tena!!!
Halafu hii hali ya kupenda kutazama angani, ilikwepo tokea enzi na enzi ya vizazi kwa baadhi ya watu. Hakika mungu alikuwa fundi stadi sana.
 
Watu wenye matatizo ya akili ni wengi humu JF
 
Reactions: 511
wataalamu wanasema ile picha kma ya mtu unayoona pale ni vimilima vya michanga pamoja na crater zilizopo kwenye mwezi, ingia youtube afu angalia mwezi wakiwa wame uzoom, utakuja kugundua hamna picha wala sura ya mtu yeyote.
 
Mwezi upi huo una mwanaume?miezi yote iwe ya dunia au kwenye space inamilikiwa na wanawake tu
Halafu Mimi siongelei theories,

Mimi naongelea nikionacho katika uhalisia, Kila ninapoutizama mwezi( moon).
 
wataalamu wanasema ile picha kma ya mtu unayoona pale ni vimilima vya michanga pamoja na crater zilizopo kwenye mwezi, ingia youtube afu angalia mwezi wakiwa wame uzoom, utakuja kugundua hamna picha wala sura ya mtu yeyote.
I wish niione picha ya moon uliyokuwa zoomed!!
 
Sasa huoni kuwa, ukiweza kuwafanya Wana JF kuweka smart phone zao pembeni japo Kwa dakika 20 na Kutoka nje kuangalia mwezi,

Huoni hayo ni mafanikio?
Na hao nao watakuwa na matatizo ya akili 😂
 
Mleta mada,Hadi Opthalmologist mwenyewe anaona ninachoona Mimi wewe inakuaje utake Mimi nimuone baba wa makamo? Asante Daktari bingwa wa nerve za macho😁😁😁😁
Mimi Kuna Mbwa wangu Nilimfuga mda mrefu sana, sema alikufa ila kila Nikiangalia kwenye mwezi namuona!

Tena kuna Muda hata lile Jua la Jioni linalozama namuona Pia
 
Ulimpenda sana?
Saana ni kwa sababu Nilimchukua Akiwa mdogo sana nikamlea kwa kuwa naye karibu kumfundisha mwenyewe kila kitu alikuja kufa akiwa na miaka mitano!..

Alipata shock (Anaphylactic) kutokana na kung'atwa na bee swarm.. Vet Dr walijaribu lakini ikashindikana..
Aliniuma sana aisee
 
Kuna kitu umekitumia before kuandika huu Uzi[emoji1]
 
Reactions: 511
Kwa upande wangu toka zamani kila ninapouangalua mwezi naona mama kabeba mtoto.
 
Mimi sijawah kufuga mbwa lkn always ndio kitu nakiona naona kama mbwa ameruka hv Kwa miguu ya mbele...tangu nipo mtoto naonaga hv
 
Mimi sijawah kufuga mbwa lkn always ndio kitu nakiona naona kama mbwa ameruka hv Kwa miguu ya mbele...tangu nipo mtoto naonaga hv
Wengine wanaona mama kabeba mtoto,

Nadhani ndiye huyo mbwa/dog/ horse uliyemwona ameruka Kwa miguu ya mbele.

I hope Mimi nimeona big picture ukilinganisha na hizo mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…