Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Cha msingi ni upendo na heshima basiiiii,hayo mengine mbwembwee tu,
Tena huyo atakuheshimu kupita hata uliyemzidi umri,ninao mfano ndio maana nalisemea hili.
Tena huyo atakuheshimu kupita hata uliyemzidi umri,ninao mfano ndio maana nalisemea hili.