Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Kwa starehe za kiwango cha kutisha kwa sasa mahali pake ni katika visiwa Maldives vilivyopo ndani ya Bahari ya Hindi huko Asia.

Haipo starehe ndani ya Ulimwengu huu utaikosa huko Maldives!

Matendo ya kishetani yatendekayo katika visiwa vile ni zaidi ya kusimuliwa.

Usichokijua Visiwa hivyo vipo kwenye hatari ya kumezwa na Bahari ndiyo maana watu wengi wa Mungu wanadai hiyo pengine ni adhabu fanani na ya Sodoma na Gumola.
 

Wakati nina kibubu changu cha kwenda huko aisee
 
Duniani kote mambo ya hivyo yapo na kuna visiwa ambapo watu wanatembea uchi kabisa

Kuna beaches 12 huko Caribbean na kuna mambo ya ajabu ambayo mengine utabaki kupanua mdomo tu kwa kushangaa

Endelea kupekua au tembelea vijiwe tena maana sidhani kama umesafiri hata zaidi ya maili 2000
 
Kwani kuna nini ambacho wametuzidi?
Au unaishi ulaya?

Sisi tushaizidi sodoma
Machokko yamejaaa kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…