Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Duniani kote mambo ya hivyo yapo na kuna visiwa ambapo watu wanatembea uchi kabisa

Kuna beaches 12 huko Caribbean na kuna mambo ya ajabu ambayo mengine utabaki kupanua mdomo tu kwa kushangaa

Endelea kupekua au tembelea vijiwe tena maana sidhani kama umesafiri hata zaidi ya maili 2000
thailand kuna sehem inaitwa pataya ni hatari tupu
 
Ni hatari Sana mkuu,
Ikifika Usiku huwa wanafanya mashindano ya maalum kuzagamuana hadharani ukumbini,

Kuna wanawake wanakwambia,
Mimi hata watu Mia njooni nawahimili, Basi kila mtu anayejiskia anaenda kumpeleka Moto.[emoji4][emoji116]View attachment 2067661View attachment 2067662
Unaambiwa hapa karibu nusu ya hawa watu ni Waarabu

Wanaenda na kanzu na hijabu zinaachwa mpakani kabla ya kuingia Marbella
 
Huwa najiuliza sana, huko watu wanafanya maasi ya kila aina na Mungu anawajaalia zaidi kila kukicha na hawana habari naye kabisa.

Sisi huku tunaokesha makanisani na misikitini mabalaa kibao, umasikini, njaa maradhi n.k
Are u sure ni Mungu anawajaalia, Shetani hawezi kuwajaalia?
 
Kwa starehe za kiwango cha kutisha kwa sasa mahali pake ni katika visiwa Maldives vilivyopo ndani ya Bahari ya Hindi huko Asia.

Haipo starehe ndani ya Ulimwengu huu utaikosa huko Maldives!

Matendo ya kishetani yatendekayo katika visiwa vile ni zaidi ya kusimuliwa.

Usichokijua Visiwa hivyo vipo kwenye hatari ya kumezwa na Bahari ndiyo maana watu wengi wa Mungu wanadai hiyo pengine ni adhabu fanani na ya Sodoma na Gumola.
Uongo mtupu.
 
Bilapicha ni umbea
 
Back
Top Bottom