Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

 
Huwa najiuliza sana, huko watu wanafanya maasi ya kila aina na Mungu anawajaalia zaidi kila kukicha na hawana habari naye kabisa.


Sisi huku tunaokesha makanisani na misikitini mabalaa kibao, umasikini, njaa maradhi n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hapo sasa cha ajabu,
 
Wee sikuwezi, nimeshindwa mie uwiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri tuzo ya Noble. Mweeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…