Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Ujengewe sanamu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]
 
nauli bei gani mpaka huko?
 
Kuna watu wanasema kule ndiko shetani mkuu ametia kambi na kuamrisha vikosi vyake Dunia nzima .

Madhambi yote ya dunia yanapatikana kule [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv kwanini watu wanadhani fornication ni dhambi kubwa kuliko ugaidi na mauaji ya kutisha, sidhani kama kuna dhambi kubwa kuliko kufanya mauaji kwa binadamu kama vile ugaidi au aina yoyote ya kuleta maumivu makali kwenye mwili wa binadamu usiokuwa na umuhimu (sadism), au udhalilishaji wa utumwa wa binadamu.
We really need to take a break to redefine the acts that need keen vigilance.
 
Mkuu kwani kwenda hilo eneo kuna kiingilio ama ??
Kuna maeneo Kuna kiingilio, maengine Hakuna kiingilio.

Ila ukishafika TU kule hata bajeti Ni ndogo usiogope, wenzetu hata sio wachoyo.

Utakula Bata mpaka utachoka, kikubwa uwe social na uendane sawia na Wala Bata wa mle.

Mabilionea karibu wote dunia nzima hujazana kule kuenjoy summer[emoji4]
 
Umeuwa mkuu, mpaka mkonga umesimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…