Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Huku kunanifaa
 
Hii sehemu ya marbella kwakweli ndio maana sasa nimegundua wachezaji wengi wa ulaya kipind hiki ligi zimesimama unasikia wapo kwenye fukwe za hispania wanakula bata kumbe huwa wanafuata mambo haya.... na ndio maana wachezaj weng wa kibrazil wanapenda spain kumbe kuna bata la kutoshaa
 
Na hizo sanamu za hapo barcellona ni balaaa yan zinahamasisha kugongana tuuu
 
Sasa hawa jamaa huko kwao dini hazipo... wao ndio wamezileta dini hizi tunazoziamini lkn wao wenyewe wpo mstari wa mbele kutenda maovu na bado wana hela ndefu... sisi tunao sali sana tunamaisha magumu kama nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…