Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Acha kupotosha jamii hivo visiwa ni vya kimasikini sana wengi wao wanakimbilia India kusoma na kutafuta maisha,rai wake ni rangi nyeusi wenye nyele ndefu kwakifupi ni waAfrica wenzetu kabisa..Kama kuna uovu wowote ni foreigners ndio wamepeleka huko.
Na ni nchi inayoongozwa kwa sheria za kiislamu, nilikuwa siijui hii nchi ila mwaka jana wife alienda kuhudhiria mkutano mmoja wa mambo ya wanawake ndio nikawa naifuatilia kwenye mtandao
 

unafahamu hata unachokiongea??? unaleta mambo ya vijiweni hapa
 
Hii ilitakiwa iwe thread kamili 😎
 
Una uhakika na ulichoandika? Umewahi kwenda Maldives? Au ni story za Vijiweni Mkuu?
 
🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…