Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

thailand kuna sehem inaitwa pataya ni hatari tupu
 
Unaambiwa hapa karibu nusu ya hawa watu ni Waarabu

Wanaenda na kanzu na hijabu zinaachwa mpakani kabla ya kuingia Marbella
 
Huwa najiuliza sana, huko watu wanafanya maasi ya kila aina na Mungu anawajaalia zaidi kila kukicha na hawana habari naye kabisa.


Sisi huku tunaokesha makanisani na misikitini mabalaa kibao, umasikini, njaa maradhi n.k
Are u sure ni Mungu anawajaalia, Shetani hawezi kuwajaalia?
 
Uongo mtupu.
 
Are u sure ni Mungu anawajaalia, Shetani hawezi kuwajaalia?
Nadhani kiimani kila linalotikea liwe baya au zuri ni majaaliwa yake Mungu.

Sidhani kama shetani ana uwezo wa "kujaalia"
 
Bilapicha ni umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…