George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
WhatsApp sijui wana shida gani na mimi?
Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia namba yangu wakinituhumu na masuala ya spam, nikiwatumia malalamiko wanafungua namba yangu ila baada ya dakika kadhaa wananifungia tena, ujumbe unaokuja baada ya kunifungia ni uleule, yaani spam issues, mwisho wa siku wakaifungia namba yangu moja kwa moja.
Sasa jambo la ajabu ni kuwa nilijaribu kujisajili WhatsApp kwa kutumia namba mpya, baada ya dakika moja walinifungia tena. Mpaka sasa nashindwa kuelewa shida ni nini? Ni simu ninayotumia kwasasa au vipi?