Japo ni kweli Serikali ina Wahuni, lakini sio wote!, japo ni kweli baadhi ya viongozi wake wabinafsi, lakini sio wote, selfless leaders wapo kibao, japo kuna baadhi ni watu wenye roho mbaya, lakini kuna wengi wana roho nzuri kuliko hao roho mbaya wachache, na pia ni kweli kuna baadhi ya watumishi wachache wala rushwa lakini wengi ni watumishi safi, waadilifu, weledi na wachapakazi kustahili kupendwa!.
Give a dog a bad name and hang it!.
Uzalendo wa kweli ni kuipenda nchi yako kwa moyo wako wote despite all the odds!.
Uzalendo kwanza!.
P
P