Unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali?

Mkuu pole , wanajeshi kufa vitani ni kawaida.
 
Mkuu naona unajaribu kuchakachua mada lakini ukweli unabaki kuwa ukweli,tunaongozwa na wahuni awamu ya sita!
 
Mkuu naona unajaribu kuchakachua mada lakini ukweli unabaki kuwa ukweli,tunaongozwa na wahuni awamu ya sita!
Huo ndio ukweli wenyewe halisi wa mambo, moja ya kosa langu kubwa humu JF ni kuwa mkweli daima!, kosa hili nitakwenda nalo 6x6!.
P
 
Nchi au serikali au vyote ni sawa?

Mada inazungumzia “kuipenda na kuitetea serikali”.

Sasa huu uzalendo wa “kuipenda nchi kwa moyo wako wote” ndiyo ule tunaoutambua au ndio ule wa kikomunisti: nchi=Rais=serikali?
 
Kama jeshi nalo washaanza kulinajisi huo ndio mwanzo wa kuporomoka kwa uimara wake.

Africa aijajifunza chochote kupitia jeshi la Nigeria. Ni moja la jeshi ambalo linatumia hela nyingi kununua silaha za kisasa, lakini ‘Boko-Haram’ tu wamewashindwa.

Tatizo nini? Walipeleka mambo yao ya wahala mpaka jeshini, kuweka watoto wa vigogo, kupandishana ranks bila ya mafunzo ya kivita na sifa sahihi. Matokeo yake maofisa wengi hawakuwa na sifa za kuongoza mapambano ndio sababu za msingi kusumbuliwa na Boko-Haram.

Na Tanzania nako inaelekea huko sasa inavyoonekana kama watu washaanza kupeleka watoto wao huko na kupanda ranks kwa upendeleo.
 
Hatari sana !

Ila siku hizi mods hawapendi nyuzi kama hizi.
mod mkuu yule mhaya ceo wa jf biashara ya kuendesha jf kibiashara ilimshinda akapewa kazi na maza serikalini

sasa jf ni branch ya serikali na ccm

ni pambio tu

na tiss wakikutaka anawapelekea data zako zote unauwawa

jf ni mavi

cha ajabu watadelete hii post yangu,kisa ni FACTS tupu hapa
 
actually wavivu hawawezi kuacha kulalamika na kudeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…