Unapata wapi ujasiri wa kufanya mapenzi juu ya kaburi?

Huko nimewahi sana nakumbuka demu alikuwa kainama nusu adondoke kwa utamu akashika msalaba ili apate stamina

Nakumbuka mpka jina la Marehemu
Alikuwa ni mmama

Elizabeth singano
Rise 12 Dec 1970 set 4may 2015
Kaburi lilikuwa na taizi

Sijaona cha ajabu hapo
Ndugu wa marehemu Kama Wako humu jf wataumia Sana.[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, Dunia ina mambo.

Wiki iliyopita Jumamosi mtaani kwetu mida ya saa 7 usiku, gari ya polisi ilisimama wakaweka roadblock kuwakamata wazururaji.

Ukikamatwa unakaguliwa, unajieleza kama maelezo hayatoshelezi unapigwa pingu ukaeleze zaidi kituoni

Na mgambo wakawa wanazagaa sehem tofaut tofaut.

Wengine kwa mguu wengine na pikipiki, wanaokamatwa wanaletwa lilipo gari na kurushwa kichura chura na kujieleza.

Mi mwenyewe nilikua mmoja wao, nilidakwa natoka stendi kumpokea mgeni wangu.

Cha kushangaza, waliletwa watu wanne, wanaume wawili na wanawake wawili wamekamatwa wanafanya mapenzi maeneo ya kuzika wafu (makaburini).

Nao wakawa wanarushwa kichura chura, uku wakifokewa na askali kwanini wafanyie mapenz makaburini. Aisee ilinishangaza sana,

Sema kwa jinsi walivokua wanatia huruma, hawana hata cha kujieleza.

Sisi wengine tulijikuta kwenye wimbi la kicheko, japokua na sisi wenyewe tulikua kwenye majanga.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa minong'ono iliyokua inaendelea pale, ilionyesha

-pea ya kwanza, mwanaume ni mme wa mtu mwingine na mwanamke ni mke wa mtu mwingine.

- pea ya pili, mwanaume ni bodaboda singo na binti ni mwanafunzi wa chuo.

Kulipokucha hapa kijiweni kwetu kazini ikawa ndio stori, cha kushangaza baadhi ya vijana na watu wazima wakasema "hiyo ni ajali kazini" Nikauliza kwanini, Baadhi ya vijana wakasema ilo mbona ni kawaida kabisa na wala halihusiani na imani za kishirikina na wengi wamefanya hivyo na wala hamna baya lolote limewapata.

Wengine wakatia na utani kabisa kuwa huwa wakienda kuzika na wakaona kaburi linawekwa marumaru (tiles), basi mioyo ya usuuzika sana. Wanasema ujenzi wa siku hizi wa kuwekea kaburi marumaru (tiles) maana kile kiubaridi cha tiles kinasisimua sana.

Wengine wakasema, Hata wakikatiza makaburini wakaona kaburi lenye tiles na msalamba mkubwa wa zege basi miili yao husisimka sana.

Wengine wakasema, Wanawake wenyewe saa nyingine ndio wanapendekeza maeneo ayo kwa kusema huko ndio sehem salama zaidi kuliko majumbani kwao au lodge au gesti house.

Wana JamiiForums, hii imekaaje wakuu[emoji848]
We kunywa k-vant kubwa peke ako na bhangi stiki 1 tu afu akili yako ipeleke makaburini,usisahau kuturudishia mrejesho.
 
Huko nimewahi sana nakumbuka demu alikuwa kainama nusu adondoke kwa utamu akashika msalaba ili apate stamina

Nakumbuka mpka jina la Marehemu
Alikuwa ni mmama

Elizabeth singano
Rise 12 Dec 1970 set 4may 2015
Kaburi lilikuwa na taizi

Sijaona cha ajabu hapo
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] Msambaa wa Lushoto[emoji2815][emoji2815][emoji2815]
 
Aisee, Dunia ina mambo.

Wiki iliyopita Jumamosi mtaani kwetu mida ya saa 7 usiku, gari ya polisi ilisimama wakaweka roadblock kuwakamata wazururaji.

Ukikamatwa unakaguliwa, unajieleza kama maelezo hayatoshelezi unapigwa pingu ukaeleze zaidi kituoni

Na mgambo wakawa wanazagaa sehem tofaut tofaut.

Wengine kwa mguu wengine na pikipiki, wanaokamatwa wanaletwa lilipo gari na kurushwa kichura chura na kujieleza.

Mi mwenyewe nilikua mmoja wao, nilidakwa natoka stendi kumpokea mgeni wangu.

Cha kushangaza, waliletwa watu wanne, wanaume wawili na wanawake wawili wamekamatwa wanafanya mapenzi maeneo ya kuzika wafu (makaburini).

Nao wakawa wanarushwa kichura chura, uku wakifokewa na askali kwanini wafanyie mapenz makaburini. Aisee ilinishangaza sana,

Sema kwa jinsi walivokua wanatia huruma, hawana hata cha kujieleza.

Sisi wengine tulijikuta kwenye wimbi la kicheko, japokua na sisi wenyewe tulikua kwenye majanga.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa minong'ono iliyokua inaendelea pale, ilionyesha

-pea ya kwanza, mwanaume ni mme wa mtu mwingine na mwanamke ni mke wa mtu mwingine.

- pea ya pili, mwanaume ni bodaboda singo na binti ni mwanafunzi wa chuo.

Kulipokucha hapa kijiweni kwetu kazini ikawa ndio stori, cha kushangaza baadhi ya vijana na watu wazima wakasema "hiyo ni ajali kazini" Nikauliza kwanini, Baadhi ya vijana wakasema ilo mbona ni kawaida kabisa na wala halihusiani na imani za kishirikina na wengi wamefanya hivyo na wala hamna baya lolote limewapata.

Wengine wakatia na utani kabisa kuwa huwa wakienda kuzika na wakaona kaburi linawekwa marumaru (tiles), basi mioyo ya usuuzika sana. Wanasema ujenzi wa siku hizi wa kuwekea kaburi marumaru (tiles) maana kile kiubaridi cha tiles kinasisimua sana.

Wengine wakasema, Hata wakikatiza makaburini wakaona kaburi lenye tiles na msalamba mkubwa wa zege basi miili yao husisimka sana.

Wengine wakasema, Wanawake wenyewe saa nyingine ndio wanapendekeza maeneo ayo kwa kusema huko ndio sehem salama zaidi kuliko majumbani kwao au lodge au gesti house.

Wana JamiiForums, hii imekaaje wakuu[emoji848]
mimi hata nikienda kwenye mazishi kukanyaga kaburi naogopa, sembuse kupiga show hapo kha
 
Wengine wanasema kwenda makaburini sio kwamba hawana pesa, ila TU Ni fantasy yao.

Tena wanapenda sana
Yale makaburi yenye uzio na yanayolindwa na mlinzi

Anamuachia mlinzi elfu 5 au 10, anaingia na mtu wake kwenda kula burudani juu ya kaburi bila hofu ya kukamatwa na yeyote.

Msimu wa mvua,
wanaenda na HEMA kabisa na mwanamke anakuja na kitenge kizito wanalala juu ya kaburi kabisa bila wasiwasi mpk kunakucha[emoji848]

DUNIA INA MAMBO AISEE
Dunia hii au sayari nyingine...?
 
Lakini kama una akili TIMAMU huwezi kufanya hicho kitendo , vingenevyo ni"ushirikina" . Ni sawa na kumkuta mtu nzima usiku wa manane akiwa uchi "njia panda"
 
Duh! Kwa nyege zipi hasa mpaka mtu mwenye akili timamu ufanye hili na marehemu? 😳😳😳😳😳😳 Umeshawahi kufanya na maiti Mkuu? Kwa nyege au kwa mambo ya Kichawi?
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wanafanyaga hususani wale wauza nyama unalipishwa nusu bei ya chumba anaputukia msalaba unajipimia unabaki mwepesi.
 
Back
Top Bottom