Unapata wapi ujasiri wa kufanya mapenzi juu ya kaburi?

Ndugu wa marehemu Kama Wako humu jf wataumia Sana.[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kunywa k-vant kubwa peke ako na bhangi stiki 1 tu afu akili yako ipeleke makaburini,usisahau kuturudishia mrejesho.
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] Msambaa wa Lushoto[emoji2815][emoji2815][emoji2815]
 
mimi hata nikienda kwenye mazishi kukanyaga kaburi naogopa, sembuse kupiga show hapo kha
 
Kiukweli sidhani kama nitadinda, mmmh! Hapana hata kusogea maeneo hayo hilo wazo halipo kabisaaa.
 
Dunia hii au sayari nyingine...?
 
Lakini kama una akili TIMAMU huwezi kufanya hicho kitendo , vingenevyo ni"ushirikina" . Ni sawa na kumkuta mtu nzima usiku wa manane akiwa uchi "njia panda"
 
Duh! Kwa nyege zipi hasa mpaka mtu mwenye akili timamu ufanye hili na marehemu? 😳😳😳😳😳😳 Umeshawahi kufanya na maiti Mkuu? Kwa nyege au kwa mambo ya Kichawi?
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Reactions: BAK
Wanafanyaga hususani wale wauza nyama unalipishwa nusu bei ya chumba anaputukia msalaba unajipimia unabaki mwepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…