Unapataje hesabu ya kumlipa fundi tiles?

Nadhani wanafanya kwa box moja Tiles. Sikumbukuki vizur ni elfu 15 ama 10
 
Tiles ni 20,000/- mpaka 40,000/_ per sqm.
Milioni 1.5 mpaka milioni 3.2. inategemea unavyotaka.
Hiyo ni standard, ukitaka urembo inaweza ikawa zaidi. Kwa hiyo hapo aliposema kila kitu ni milioni 3 yupo sawa.
kuna cement na vigaragazo vinigne.
Kobello, hizi bei ni hatari! au ni bei za kununulia material ? maana kwa bei hizo fundi peke yake anachukua mpunga mkubwa kuzidi gharama ya material.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Asante Kayaula Musa, maana kuna fundi alinipa hesabu yenye namba za ajabu, material jumla ni 2,500,000/= kupiga tiles anataka 1,000,000 sikumuelewa.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Generally, labor charge huwa kati ya 25 mpaka 30% ya material cost. lakini inategemea na kazi..!! Mfano, kwenye maghorofa ya vioo, unaweza kuta kioo kimoja kimevunjia say ghorofa ya tatu. Bei ya kioo inaweza ikawa rahisi, lakini logistics za kukifunga zikagharimu sana...

Hivyo, kwa material cost hiyo, alitakiwa aseme kuanzia Tshs. 625,000/- hadi 750,000/-
 
Asante kiongozi kwa ufafanuzi mzuri, tayari nimeshanunua tiles za 50*50 box 60 na box 12 za 40*40 na skating box 7, mifuko ya cement ipo 10 ya kuanzia, lengo nataka nione mfuko mmoja utapiga tiles ngapi ili nikanunue mzigo wote kwa bei ya jumla rejareja inaumiza Sana. Unasemaje kupiga tiles Kwa sqm moja fundi alipwe sh.ngapi? naomba comment yako malipo yawe Kwa kila sqm moja ya tiles kwa fundi.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Bt hongera ni hatua nzuri japo msoto sana.

Wacha tupambane . Tutafika tu
Asante Philipo, yani nikimaliza tiles nitashusha pumzi kidogo maana nilihamia kwenye nyumba bila tiles huu mwaka wa pili. Lakini tuliishi na wanangu kwa Amani Sana, Jana nimeleta tiles mwanangu mmoja mdogo umri 2+ akauliza baba umeleta keki tule! fungua box tuone humo kuna nini!! kijana wangu umri 5+ akamwambia tiles hizo zimeingia, dah machozi yalinilenga lenga nikajikaza kiume, wanangu nao sasa wakanyage kioo cha tiles namshukuru Mungu Sana.
IMG_20211120_082931.jpg

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Aisee hii ni finishing.

Mimi bati tu linanipa stress[emoji53][emoji53]
Hapo kwenye bati na mbao ni zoezi ngumu sana kwa sababu pesa inahitajika kwa wakati mmoja, ndio maana wengi wakimaliza kupiga bati wanapiga kapicha mjengo nduki.Humuoni tena site anakuwa katoboka mfukoni na madeni juu.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Tiles ni 20,000/- mpaka 40,000/_ per sqm.
Milioni 1.5 mpaka milioni 3.2. inategemea unavyotaka.
Hiyo ni standard, ukitaka urembo inaweza ikawa zaidi. Kwa hiyo hapo aliposema kila kitu ni milioni 3 yupo sawa.
kuna cement na vigaragazo vinigne.
Fundi inaonyesha wewe ni fundi wa mitaa ile kule baharini.. Hapo tu nadhanj unepitiwa ila najua ulitaka kutuwekea bei in terms of Dollar.

Mimi sikuwezi kwakweli...
 
Asante Philipo, yani nikimaliza tiles nitashusha pumzi kidogo maana nilihamia kwenye nyumba bila tiles huu mwaka wa pili. Lakini tuliishi na wanangu kwa Amani Sana, Jana nimeleta tiles mwanangu mmoja mdogo umri 2+ akauliza baba umeleta keki tule! fungua box tuone humo kuna nini!! kijana wangu umri 5+ akamwambia tiles hizo zimeingia, dah machozi yalinilenga lenga nikajikaza kiume, wanangu nao sasa wakanyage kioo cha tiles namshukuru Mungu Sana.View attachment 2017441

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Hongera sana!
 
Hongera sana...mdogo mdogo utafika. Finishing ni ngumu na kuna muda unajiuliza maswali ya kila aina..ila with time utajikuta nyumba imekaa sawa.

Tafuta second opinion ya fundi mwingine wa tiles. Unaweza kupata mzuri kwa bei pungufu. Kama mdau alivyosema hapo juu hata ikifika 25% ya material costs sio mbaya.
 
Asante Sana ndugu yangu, hii option ya 25% ya material cost ni fair kabisa.
 
Back
Top Bottom