Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa nini mkuu?
Ha ha ha ha kwa nini mkuu?Heri boss wa kiume asee
Wa kike msimu wa period hakuna rangi utakosa iona
Kweli mkuu, hiyo ndivyo inavyotakiwa.
Kweli mkuuDuh wanawake hapana kwa kwel.. Boss wang mm n mwanamke dah anazingua huyo, sijui wananwake mnanini lkn..Halafu anapanik sana ukimwambia ukwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha kwa nini mkuu?
Inaonekana hawa wengine wanachangamoto sana
Wanawake wengi wetu tuna matatizo sana visirani hatariInaonekana hawa wengine wanachangamoto sana
Ha ha ha atakuachisha kazi.Boss awe mwanamke siku akileta kisirani unamtongoza.
Aaah wapi.ha ha ha atakuachisha kazi
Labda muwe wawili chamberAaah wapi.
Unatumia macho tu kumtongoza ataingia line, no kuongea.Labda muwe wawili chamber