Unapenda boss wako awe jinsia gani, na ni kwanini?

Unapenda boss wako awe jinsia gani, na ni kwanini?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mi huwa napenda boss wangu kazini awe mwanaume kwa sababu kwa asilimia kubwa huwa sio wanafiki.

Je, wewe unapenda boss wako awe jinsia gani, na ni kwanini?
 
Back
Top Bottom