Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
Wanawake kuwa maboss walio wengi wana matatizo mengi kwnye kazi, visirani, chuki, visasi. Ukimbishia kidogo tu utakiona cha moto. Boss mwanaume ni bora mara elfu kuliko wakike. Wapo pia wanaume wachache sana wenye tabia za kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app