Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

Ndio kuna gin + lmao + triple sec = margarita.
No! margarita cocktail haiingii gin inaingia tequila & triple sec or any orange liqueur and lime juice wengine huweka na agave syrup..
 
Mock tail & cock tail nilivyoelewa ipo kali na ipo tamu tamu ila mchanganyo lukuki je nimepatia au laa?
 
Basi hiyo itakua Negroni au? Coz kuna gin hapo?
Anayotengeneza hapo ni Margarita nimezoom hiyo glass ina chumvi kwa juu hivyo ndivyo margarita hutengenezwa!.
Mkuu hiyo ni bar any spirit inaweza kukaa hapo kukaa hapo sio kwamba anatengeneza kitu fulani tu!.

Negron inaingia Gin,campari na sweet vermouth so hapo unaona kuna gin tu na negron haitengenezwi kwa hiyo Martin glass negron glass yake ni old fashioned ama whisky glass....
 
Nimeona mkuu😁
 
Uzi maalumu kwa wanywa cocktail✖️
Uzi maalumu kwa walevi✔️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…