Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Last time nilikunywa TanoMalizia ice tea!, inaitwa long island ice tea!
Hornet sema ukweli hizi unaweza kunywa glass ngapi maana hii kiboko!😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Last time nilikunywa TanoMalizia ice tea!, inaitwa long island ice tea!
Hornet sema ukweli hizi unaweza kunywa glass ngapi maana hii kiboko!😅
Ndio kuna gin + lmao + triple sec = margarita.i think this is margarita isn't it..?
Tuliachanaga kila mtu akiwa anampenda mwenzakee.heko kwake...😅
Basi hiyo itakua Negroni au? Coz kuna gin hapo?No! margarita cocktail haiingii gin inaingia tequila & triple sec or any orange liqueur and lime juice wengine huweka na agave syrup..
Aje ghetto gospel umejuaje Kama ni KE🏃Uje ghetto nikufundishe nikuonjeshe...😅
Aaaah hapanaa, hivi vitu nimekubali vinipitee tyuuh.Uje ghetto nikufundishe nikuonjeshe...[emoji28]
Mock tail & cock tail nilivyoelewa ipo kali na ipo tamu tamu ila mchanganyo lukuki je nimepatia au laa?Uzi maalumu kwa wanywa cocktail na mocktail, karibuni tujumuike kujua nini unapenda zaidi na kwanini unakipenda hicho kinywaji!.
Kwa ambao hawajaelewa Mocktail ni vinywa vinavyoandaliwa ila vinakuwa havina kilevi, cocktail ni inakilevi huo ndo utofauti kati ya cocktail na mocktail!.
Binafsi katika cocktail napendelea Moito ama mojito ambapo kwa ambayo haina kilevi huitwa virgin moito!.
ingredients ni kama zifuatavyo:
White rum,
slices of limes,
sugar,
soda water and mint leaves,
you can use clashed ice or ice cubes it's your choice!.
Na hivi ndivyo huonekana
View attachment 3250614
Zipo moito nyingi ambazo wengine hupenda kuweka passion ama mango ni vile tu mtu upendavyo!.
wengine badala yakuweka soda water huweka sprite!, it's fine lakini kama utaweka sprite basi usiweke sukari maana tayari sprite inasukari!, so kwa wale wasiotumia kilevi hapo hutakiwi kuweka hiyo "white rum!" hii ndo pombe yenyewe!.
Moja yakitu kinachonivutia zaidi kwenye hii cocktail ni harufu ya mint binafsi harufu yake hunivutia zaidi..😅
Na hii ni moja ya cocktail inayopendwa sana na waitaliano pamoja na wabrazil!.
Kuhusu Mocktail sidhani kama kuna mocktail nayoipenda bado sijawa na chaguo!, msije mkasema mi mlevi it's for vibe only!.
chengine niwakumbushe kwa wale wanywa pombe kali si vyema sana kila siku kunywa pombe kavu muda mwengine pata vitu kama hivi vilivyochanganywa unakunywa bila hata kukunja sura, japo cocktail sio zakufakamia maana unaweza ukaona kama haulewi kumbe vitu vinajiweka tu vikija kulipuka unaanza kulia tukupeleke nyumbani..😅
So, tunyweni kwa uangalifu.
Karibuni..
Sawa teacherSeen
Anayotengeneza hapo ni Margarita nimezoom hiyo glass ina chumvi kwa juu hivyo ndivyo margarita hutengenezwa!.Basi hiyo itakua Negroni au? Coz kuna gin hapo?
Nimeona mkuu😁Anayotengeneza hapo ni Margarita nimezoom hiyo glass ina chumvi kwa juu hivyo ndivyo margarita hutengenezwa!.
Mkuu hiyo ni bar any spirit inaweza kukaa hapo kukaa hapo sio kwamba anatengeneza kitu fulani tu!.
Negron inaingia Gin,campari na sweet vermouth so hapo unaona kuna gin tu na negron haitengenezwi kwa hiyo Martin glass negron glass yake ni old fashioned ama whisky glass....
I dont want problem always