Unapenda kununuliwa eeeh?

Unapenda kununuliwa eeeh?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Lady:ninunulie lunch
Man: una boyfriend?
Lady: yeah, why asking?
Man: umewahi kusikia wafanyakazi wa Vodacom wakilipwa na Airtel ?
[emoji15] [emoji15]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] majibu mengine.
 
Lady:ninunulie lunch
Man: una boyfriend?
Lady: yeah, why asking?
Man: umewahi kusikia wafanyakazi wa Vodacom wakilipwa na Airtel ?
[emoji15] [emoji15]
Huyu atakuwa sio mwanaume wa .......
 
Mwanamke uki m treat well hata akiwa na mume.. utamgonga tu.. wana huruma sana hawa viumbe...
 
ni swali lakini pia ni jibu lenye kutosheleza,sku nyingine hato penda kununuliwa
 
Back
Top Bottom