Unapenda mboga gani ya majani?

Unapenda mboga gani ya majani?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku.

Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu.

Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.

1620908398506.png
 
Mboga majani nyingi nazipenda
Mchicha
Chinese
Majani ya maboga
Figiri
Tembele

ila napenda zipikwe bila maviungo mengi Mfano napenda zipigwe mafuta kitunguu maji na karot tuu
 
Mchicha upikwe na kitunguu na pilipili tu

chinese/tembele iungwe na nyanya
 
Mnafu na mkalifya[emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Back
Top Bottom