Unapenda MOVIES? (SESSION 03) Usikose hizi wiki hii...

Ebana nimetoka kuicheki Countdown..dah yule nesi kwa jina Quin mtoto mzuri sana,japo naona hii movie imepita kwenye mstari kama wa final destination, hata hivyo ni movie nzuri..

Nimependa ubunifu wa hiyo app kwamba haifutiki..naona kuna muda walimpelekea fundi simu akafanya mafekeche ya ku hack akafanikiwa kuongeza miaka japo baadae mzigo ulirudi vilevile.(huyu fundi ilimgharimu kuwasaidia). wakaona wageukie maombi wapi.. anyways ni filamu nzuri.. kituo kinachofuata ni Shutter island.
 

wale wapenzi wa series hii apa...
Mshauri wa maswala ya kifedha anaiingiza familia yake kwenye biashara ya madawa ya kulevya ambapo anatakiwa kutakatisha $500 Millioni ndani ya miaka mitano kutoka kwa wauza madawa ya kulevya (Caretel) wamexico... je ataweza kuikwepa mikono ya FBI na kuweza kutakatisha fedha hizo ili kuiokoa familia yake kifo au ataishia jera.... Ipakue Series hii kali ya OZARK 1-3 bure kwa link hii
ShrinkMe.io
 
Ina English subtitle?
 
Kama mimi. Huwa natumia Halotel 4G ya usiku, mzee baba ni si mchezo kwani kitu kinashuka kama vile unakivuta na kamba. Mara chachechache nikihitaji muda wa mchana ndo najiunga na ya gb7 kwa wiki.

Ahsante kwa kushare mawazo yako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fundi alikuja kuipata mwishoni ... hahaha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio Countdown nimeicheki juzi kati, ni nyoko! 🤣🤣🤣 nikawatisha jamaa zangu kwamba na download ile app na mimi ilikuwa patashika!

Truth or dare nayo nzuri ila sijaipenda kivile.
 
SteveMollel ebana tayari nishaicheki What happened to Monday ni balaaa..japo sina upenzi sana na sci-fi lakini hii imenibamba aisee..nimesikitika tu kwanini yule mama wa kituo cha watoto kwanini na yeye hawakumchoma moto kama alivyokua anawaua watoto kikatili..ni movie nzuri sana..hukoseagi chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…