Unapenda MOVIES? (SESSION 03) Usikose hizi wiki hii...

Unapenda MOVIES? (SESSION 03) Usikose hizi wiki hii...

Namalizana na johnathan chapter 2
received_587207048813473.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
SteveMollel ebana tayari nishaicheki What happened to Monday ni balaaa..japo sina upenzi sana na sci-fi lakini hii imenibamba aisee..nimesikitika tu kwanini yule mama wa kituo cha watoto kwanini na yeye hawakumchoma moto kama alivyokua anawaua watoto kikatili..ni movie nzuri sana..hukoseagi chief.
Mzee baba ni si mchezo. Kazi imetulia hiyo. Enjoy na zingine tukutane hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumia halotel 4g, kwenye bando mara nyingi natumiaga cha 1500 saa6 usiku hadi 12 asubuhi unlimited, na mara chache nikidownload mchana cha 5000 gb7 wiki, na speed yake ya kudownload iko vizuri.
KWA PC ukichukua movie 10-15 zitajaa zote kwa pamoja mpaka asubuhi ila hapo nikiconnect pc kwa hotspot kutoka kwenye simu.

Kama nikitumia modem yangu ya 3g alafu nikasema nizidownload kwa pamoja hazitojaa zote, ila dawa ni kudownload moja-moja hapo utapata movie hata 10au9 mpaka saa 12 asubuhi ila itabidi ukeshe sababu movie moja itachukua kama dk 25-30 mpaka ijae full pia itategemea na eneo ulilopo.
Line yako ya chuo au kawaida?
 
Back
Top Bottom