Ebwana mie mkewangu aniandalie castle baridi tu..karanga wala!!!
Siyo Heineken au Grolsch??! msosi hupendi andaliwa?
Chai ya viungo haikosi, napenda hio ya karanga ila mahali nilipo karanga nzuri adimu sana... :disapointed:
mie nikimuandalia chai ya rangi yenye hiliki au tangawizi baada ya kuoga maji ya moto najisikia nimempokea kike kwelikweli!yeye nikikuta amewahi japo aniambie pole na kazi tu nakuwa burudani!