Unapenda MPENZI/MKE/MUME wako akupikie chakula gani?

Unapenda MPENZI/MKE/MUME wako akupikie chakula gani?

BORNCV

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
242
Reaction score
46
Kuna wenza wengine hupenda kuwaandalia chai na karanga waume zao wanaporudi jioni toka kazini je, wewe hupenda kumuandalia nini mpenzi, mkeo au mume wako.
 
Ebwana mie mkewangu aniandalie castle baridi tu..karanga wala!!!
 
Mimi aniandalie mbuzi katoliki ya kuoka!
 
Chai ya viungo haikosi, napenda hio ya karanga ila mahali nilipo karanga nzuri adimu sana... :disapointed:
 
mie nahitaji chai kavu tu tena ya rangi! i do luv that
 
mie nikimuandalia chai ya rangi yenye hiliki au tangawizi baada ya kuoga maji ya moto najisikia nimempokea kike kwelikweli!yeye nikikuta amewahi japo aniambie pole na kazi tu nakuwa burudani!
 
mie nikimuandalia chai ya rangi yenye hiliki au tangawizi baada ya kuoga maji ya moto najisikia nimempokea kike kwelikweli!yeye nikikuta amewahi japo aniambie pole na kazi tu nakuwa burudani!

kupokea kike kwelikweli lol
noted.lol
 
me napenda kumuandalia juice ya matunda fresh,ka vile embe,passion,tango,avacado,, akitoka tu kazn namvua koti ka atakua amevaa,soksi then nampooza na juice baridi,,afta that husema asante mke wngu baasi mi napenda anavoshukru,,
 
Huwa narudi nyumbani Kila ijumaa,Basi nikirudi mke wangu ananiandalia chakula kile nilichokikosa kwa wiki nzima yaana......alichopewa na Mungu kuninyima mume wke dhambi, maana sitakagi kitu kingine kwanza
 
Back
Top Bottom