Unapenda msosi gizani au full mwanga?

Unapenda msosi gizani au full mwanga?

Inategemeana na mazingira, japo kwangu mimi naona ni mtamu sana kwa usiku na candle light, maana hapo karibia kila tunda nitaliona na kuonja, si unajua tena maembe yale ya kunyonya? Ntachambua weee mpaka ule utelezi wa bamia utoke, halafu na ule uhuru wa sauti za mlo ndo usiseme yaani full kujiachia na msosi.
 
Mwanga ni muhimu japo hautakiwi uwe mkali sana. Raha ya msosi ni kuuona unapoufinyangafinyanga bwana! Hapo ndipo utamu halisi utaupats mpaka kisogoni.
 
Gizani tena!?! Utamu wa kula kuwe na kiasi cha mwanga uweze kuona kila kitu. Reactions na feedback zote lazima zionekane. Gizani utaonaje macho yanavyolewalewa?Gizani utaonaje uso unavyokunjwakunjwa kuonyesha utamu? Gizani huwezi kujua kwa uhakika ni hatua gani uchukue next, lakini km kuna mwanga ni rahisi kuona mrishonyuma na kuamua next step.
 
mwanga but usiwe mkubwa, ukiwa wa rangi unapendeza zaidi
 
Itakayopigiwa sana upatu ndo ntaitumia,,,,maana sijui na sijawai kuRa
 
gizani utaonaje macho navorembua

Nahisi wewe wajua position moja tu!!! Halafu macho yako yakilembuka amekwisha yaona wakati anakutongoza!! Pia ujue kwamba binadamu ana sense za namna tano: touch, smell, sight, hearing and taste. Sasa ukikutana na jamaa hana mpango na sight na yuko sana kwenye hearing basi giza ni priority kwake!!
 
Habari wakuu wa jamvi,
Jamani hivi watu wametofautiana sana,unajua kwanini nasema hivyo?utakuta kuna mtu yeye anapenda kulia gizani,yaani giza totoro ndio furaha yake,mwingine yeye anataka angalau candle light,mwingine anataka ale mchana kweupe!au kama ni usiku basi zitawashwa taa zote aone pilipili ilipo,ndizi,sijui ndimu,salad,avocado,maharage,mchicha si unajua wengine wanapenda mamichicha marefuuuu,wengine michicha wala hawataki ,kama watermelon basi ayabebe ayapapase huku na kule kabla ya kuendelea na maakuli.
Lakini mimi nacho jua mkono huwa haukosei mdomo ulipo au mdomo si kazi kutafuta mkono wenye chakula ulipo.
Je wewe wapenda kulia wapi?na kwanini?

Ni vizuri kama ungeweka context yaani ni aina gani ya relationship (wanandoa, wachumba, girlfriend na boyfriend, hit and run business) na chakula kinaliwa wapi (guest, chini ya mti, kwenye shamba la mahindi, kwenye guard -JKT henzi hizo, nk).

Jibu langu ni inategemea na mazingira na aina ya client!!
 
Nahisi wewe wajua position moja tu!!! Halafu macho yako yakilembuka amekwisha yaona wakati anakutongoza!! Pia ujue kwamba binadamu ana sense za namna tano: touch, smell, sight, hearing and taste. Sasa ukikutana na jamaa hana mpango na sight na yuko sana kwenye hearing basi giza ni priority kwake!!
Poa ila ile position ndio yenyewe, mtahangaika mweshowe palepale
 
Nahisi wewe wajua position moja tu!!! Halafu macho yako yakilembuka amekwisha yaona wakati anakutongoza!! Pia ujue kwamba binadamu ana sense za namna tano: touch, smell, sight, hearing and taste. Sasa ukikutana na jamaa hana mpango na sight na yuko sana kwenye hearing basi giza ni priority kwake!!

Position ipi hiyo mkuu? haha haaaaaaa!
 
Ni vizuri kama ungeweka context yaani ni aina gani ya relationship (wanandoa, wachumba, girlfriend na boyfriend, hit and run business) na chakula kinaliwa wapi (guest, chini ya mti, kwenye shamba la mahindi, kwenye guard -JKT henzi hizo, nk).

Jibu langu ni inategemea na mazingira na aina ya client!!
client ni wa kudumu na venue ni mahali tulivu pasipo macho wala masikio ya watu
 
Kwa mara ya kwanza mwanga muhimu ili kukagua menu yote then after hata ukila na giza tororo no problem.
 
Mwanga fulani hivi ili nione reaction na feedback from her face. her facial expression speaks a thousand words. besides zile shanga utaziona vipi gizani? au ukimtuma glass ya maji ili umuangalie anapoenda kuileta.

Tuko pamoja! wakati wa shughuli nzima ya ulaji, sura huwa zinabadirika, gizani utafaidi visauti tu lakini kwa full mwanga utaangalia namna anavyopokea kitu alichokitaka.
 
Back
Top Bottom