Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Mufti kuku The Infinity kwenye picha ya pamoja na paka wake
Compress_20230729_194455_5887.jpg

InShot_20240403_155347520.jpg


Cc BICHWA KOMWE -
 
Katika Pets ambao siwapendi ni Paka maana Wana tabia za hovyo sana na Wana Kisirani sana 😂😂😂
Mimi pia paka kama siwaelewi, wana viburi sana. Halafu huwezi kujua mood yake kama amekasirika ama anafuraha, yeye yupo tu.

Ni tofauti na mbwa, mbwa akikasirika unajua, akiwa ana huzuri ama mawazo ama stress kwa mfano ameachwa na mke wake ama mume wake ama mchepuko unajua na akiwa na furaha unajua mapema tu.

Binafsi Mbwa is my favorite hasa hawa local breed. Ni washkaji sana.

Paka akae mbali na mimi.
 
Paka Wana tabia za kike tena wale Watoto wa kike visirani, Wenye Paka huwa hamuoni vile Paka akikuona anavyo deka huku anakufuata na kukulia aisee nachukia sana 😂😂😂
Watafiti wanasema pia, paka huelewa command anazopewa na binadamu, kama mbwa. Lakini they just ignore you 😄, na huwafanyi kitu
 
Watafiti wanasema pia, paka huelewa command anazopewa na binadamu, kama mbwa. Lakini they just ignore you 😄, na huwafanyi kitu
Mbwa watiifu sana tena madume ndio watiifu zaidi kuliko majike majike visabengo sana hususani wakiwa na Mimba wanakua wabishi wabishi tu mpaka uwe mkali mkali uwapige mashuti ndio wanatulia
 
Paka akikasirika anaweza kukutoa macho
Sio Paka wa Dar labda wamkoani hukooo? 😂😂😂
Nakumbuka Kuna kile kipindi Cha Magufuli Kuna Paka sehemu fulani walikonda sana kwa sababu wale washua walikuwa wanawanunulia Samaki Tasi lakini Magufuli alivyoingia wale Washikaji wakaingia matatizoni wale Paka wakawa hawali tena Samaki Tasi wache wakonde 😀😀😀
 
Back
Top Bottom