Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

Msichokijua kuhusu Paka!

Paka ana uwezo wa kukuona nje ndani yaani kufahamu kama una hasira, furaha, huzuni n.k. Na kupitia uwezo wake huo anaweza akamsaidia binadamu kujisikia vizuri kwa kuondoa hisia mbaya au nishati hasi katika mwili.

Kwa watu wenye Sonona/ depression au wagonjwa wenye matatizo ya stroke au magonjwa ya kusendeka Paka anaweza akawasaidia wagonjwa kujisikia vizuri na kuondoa hisia za upweke, kukata tamaa n.k.

Pia paka wanasaidia kupambana na nguvu za giza unapokua umelala na kushambuliwa na pepo wa chafu au nguvu mbaya za kiroho na wachawi.

Paka anasaidia kuua wadudu hatari kama nyoka, nge , tandu na wengineo wakiingia kwenye makazi ya binadamu.

Paka anauwezo wa kuona viumbe tusivyoweza kuviona kwa macho yetu pia husikia minongono ya sauti za chini sana ambazo binadamu hawezi kusikia.

Ni hayo machache tu kuhusu Paka ila tuwapende na tuwaelewe ni viumbe wazuri sana.
 
images (9) - 2024-04-10T000243.946.jpeg
 
Katika mnyama hajawahi kuacha asili ni paka. Yani zile tabia za porini hajawahi kuacha hata umix breed vipi....

Kuna siku atazingua tu. Paka si ntu kabsa
 
Alafu tabia moja ya Paka jike ni Malaya wa kupindukia unaweza ukakuta ana watoto 10 Kila mtoto ana rangi yake na muonekano wake hapo Mimi huwa najiuliza hivi inakuwaje anakuwa anaachia sana hajisikii vibaya ? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚View attachment 2959081
Kwenye suala la umelaya sikupingi, mi nadhani ukimsoma tabia za paka basi umemuelewa binadamu. Paka anatabia kama binadamu
 
Kwenye suala la umelaya sikupingi, mi nadhani ukimsoma tabia za paka basi umemuelewa binadamu. Paka anatabia kama binadamu
Malaya anaweza kuwa ni binadamu tu mwenye tabia hizo chunguza wanyama humegana tu kwa ajili ya jike likiwa kwenye siku za kubeba mimba
 
Katika mnyama hajawahi kuacha asili ni paka. Yani zile tabia za porini hajawahi kuacha hata umix breed vipi....

Kuna siku atazingua tu. Paka si ntu kabsa
wangu anaheshima isee,hajisaidii ndani hata kwa bahati mbaya,haibi chakula hadi nimpe.kuna kipindi nilimchoma chanjo ikamletea madhara kaliumwa hadi nikalia nikizani atakufa ila alipona na kipindi chote hicho alikuwa hawezi hata kula namnywesha maziwa tu kwa sirinji,msafi namuogeshaga nakuchq namkata
 
Back
Top Bottom