Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

Tatizo kubwa ni visasi na vinyongo walivyo navyo paka, hawasamehi na kusahau...wanabeba vitu moyoni

Kingine wana wivu wa mapenzi sana

Lakini nawapenda kwakuwa ni wasafi sana na wanajipenda
 
1712732542170.jpg
 
Msichokijua kuhusu Paka!

Paka ana uwezo wa kukuona nje ndani yaani kufahamu kama una hasira, furaha, huzuni n.k. Na kupitia uwezo wake huo anaweza akamsaidia binadamu kujisikia vizuri kwa kuondoa hisia mbaya au nishati hasi katika mwili.

Kwa watu wenye Sonona/ depression au wagonjwa wenye matatizo ya stroke au magonjwa ya kusendeka Paka anaweza akawasaidia wagonjwa kujisikia vizuri na kuondoa hisia za upweke, kukata tamaa n.k.

Pia paka wanasaidia kupambana na nguvu za giza unapokua umelala na kushambuliwa na pepo wa chafu au nguvu mbaya za kiroho na wachawi.

Paka anasaidia kuua wadudu hatari kama nyoka, nge , tandu na wengineo wakiingia kwenye makazi ya binadamu.

Paka anauwezo wa kuona viumbe tusivyoweza kuviona kwa macho yetu pia husikia minongono ya sauti za chini sana ambazo binadamu hawezi kusikia.

Ni hayo machache tu kuhusu Paka ila tuwapende na tuwaelewe ni viumbe wazuri sana.
Mtaacha lini kujadili kuhusu nguvu za Giza
 
Back
Top Bottom