Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

🤣🤣🤣Hata mi napenda paka ndgu yangu ila tu asiwe mkubwa.
Na nina bahati nao sana, huwa wananikubali mno na najua kucheza nao wakafurahi.

Paka akiwa mkubwa afu dume huwa yanakua mabaya kishenzi.

Toka nakua home tunafuga paka.

Mnyama nisiemkubali ni dogi, sinaga imani na yule mwamba.
Nili wahi kuwa na mbwa, royal Sana mwana yule.
Bahati mbaya tuli muacha kipindi tuna hama.

Sasa juzi mlikuwa mna nidiss kwanini, akati ni wale wale 🤣😂
 
Mbwa madume raha sana kufuga Ila kufuga madume tupu wakizurula mtaani akapata jike anaolewa HUKO HUKO harudi tena hata ukimrudisha anaondoka tena analifuata Jike lake lilipo utashangaa tu Dume lako limehamia mtaa jirani kwenda kulipiga miti jike la mtaa huo na halirudi tena, ukifuga Dume fuga na Jike Ila Mbwa Jike ana vituko sana alafu akibweka sauti sio km Mbwa Dume Mbwa Jike anabweka km Paka' sio Paka' sijui anabwekaje Ila Mbwa Dume anabweka hata km unapita nje unajua kabisa hapa kuna Jibwa lenye mamlaka na hii sehemu usiingie kichwa kichwa, Mbwa Dume mwendo wa kufuata amri tu ukimwambia asibweke anatii ukimwambia kaa chini anatii ukimwambia nenda pale anatii ukimwambia lala anatii njoo kwa Mbwa Jike sasa alafu umkute tayari ana ujauzito mwambie kaa chini Mbishi lala Mbishi nenda kule Mbishi toka hapo Mbishi usibweke kaa kimya Mbishi nenda bandani Mbishi Ila all the time analindwa na Mbwa Dume ndio maana yanakuaga yanalinga ukimzingua Mbwa Jike na Dume lipo unatafuta ugomvi na Mbwa Dume na next time Mbwa Dume linamcontrol Mbwa Jike (demu wake anaempiga miti) ukiingia lijike likataka kukuvamia vamia km Dume linakujua linamzuia Jike lisikuletee fujo, Mbwa wana akili sana sometimes ukiwaangalia Sura zao kwa mbali sana wanafanana na binadamu Ila tu hawajui kuongea Ila wanaelewa sana tena sana ndio maana mnyama wa kwanza kuishi na binadamu ni Mbwa
 
Uwe una weka Aya kaka, hii Ina umiza macho.
Hakuna resting point kabiSa 😄🤔
 
Back
Top Bottom