Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dah shangazi nime pata, labda kusset Netflix ndo ana weza😆😆We unajua shangazi yako sipikagi 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah shangazi nime pata, labda kusset Netflix ndo ana weza😆😆We unajua shangazi yako sipikagi 😂
🤣 Bila shaka, mwaliko alitakiwa kukupa mama mapishi Aliya.Dah shangazi nime pata, labda kusset Netflix ndo ana weza😆😆
Hivi zero zero zero Umesha Iona??🤣 Bila shaka, mwaliko alitakiwa kukupa mama mapishi Aliya.
sijaiona hata ile uliyoniambia juzi sijaiona… nitafanya hima.Hivi zero zero zero Umesha Iona??
Zero zero zero ni series Kali mnoo, una feli wapi shangazi nzuri 😊sijaiona hata ile uliyoniambia juzi sijaiona… nitafanya hima.
Ohhh kumbe ni series? Ndio maana sijaangalia. Ni series chache sana naangalia, i mean napenda movie niangalie iishe, unless iko very catch!Zero zero zero ni series Kali mnoo, una feli wapi shangazi nzuri 😊
Ni single movie, japo naona Ina weakness sehemu baadhi.Ohhh kumbe ni series? Ndio maana sijaangalia. Ni series chache sana naangalia, i mean napenda movie niangalie iishe, unless iko very catch!
Ila nitaijaribu, na ile ya juzi ni series?
Asante kwa recommendation, nikianza kuiiangalia nitakuinform ili tupate chakujadili.Ni single movie, japo naona Ina weakness sehemu baadhi.
Better check hiyo zero zero zero.
Vipi commedy za kikenya wapenda ati😆Asante kwa recommendation, nikianza kuiiangalia nitakuinform ili tupate chakujadili.
Yes yes!Vipi commedy za kikenya wapenda ati😆
Sawa shangazi mzuri😊😊, tuta bonga kesho🤗.Yes yes!
Nakuaga kwa leo, uwe na muda mwema.
😂😂😂Hayo fukuza tu, mipaka dume huwa siifagilii kabisa.
Kisa?Nilishaapa katika maisha yangu sitokuja kufuga paka. I hate them!
Sina sababu mkuu nawachukia tuKisa?
HayaSina sababu mkuu nawachukia tu