Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

IMG_3897.jpg
 
Wanawake wana tabia za paka

●Paka ni mdekaji sana (wanawake pia wanapenda kudekezwa
●Paka haishi kwa msela jiko limenuna hakuna masotojo (na wanawake hivyohivyo wanazingatia maokoto)
 
Hawa ni wako? 😂
Niliwahi mfuga mmoja tokea mdogo hadi anakua ila nilipata ukinzani sana nyumbani maana naishi na wazee pia hata wife muoga sana anawaogopa.
Basi bhana nikamrudisha hifadhini.
Ila ninawapenda sana duma indeed duma ni my favourite pets.
Na kama ikatokea nimeenda hifadhini basi ni kuwaona wao tu.
Nikihamia kwangu lazima nimtafuta mdogo nimfuge hadi awe mkubwa na niishi nae.
 
Nilikuja kugundua recently kuwa hawa duma hawali watu, nilikuw najuaga wapo kama simba, chui etc.....kumbe wenyew hawana shida na watu
 
Nilikuja kugundua recently kuwa hawa duma hawali watu, nilikuw najuaga wapo kama simba, chui etc.....kumbe wenyew hawana shida na watu
Hawana mkuu,tena hata akiishi porini na ukakutana nae uso kwa uso unaweza ukamkemea akakimbia.
Ni wanyama waisotaka shida na binadamu.
Ila tahadhari kama hajakuzoea usivujwe damu mbele yake ile harufu ya damu inaweza ikamzuzua akataka kuinyonya sehemu inayovuja na kumuondoa ikatumika nguvu ya ziada.
Ila muda mwingine yupo kama paka wa nyumbani yani haeleweki mood yake anaweza akakurarua na kucha za mkono au uso mara moja moja.
 
Back
Top Bottom