mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Hahahaha,Paka anadeka.???Paka Wana tabia za kike tena wale Watoto wa kike visirani, Wenye Paka huwa hamuoni vile Paka akikuona anavyo deka huku anakufuata na kukulia aisee nachukia sana [emoji23][emoji23][emoji23]