Unapenda picha za kuchora kwa mkono au za mashine?

Unapenda picha za kuchora kwa mkono au za mashine?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Mie ni mpenzi sana wa picha za kuchora kwa mkono, picha za ubunifu kuliko za kuchora kitumia programu au mashine.

Kuna picha zinachorwa na wasaanii wa uchoraji mpaka mwenyewe unabaki kuwaza huyu mtu aliwaza nini?

Wewe unapenda picha gani, au bora picha.

Tupia picha zako kali za kuchora kwa mkono au mashine tuburudishe macho.

Screenshot_20260701_223248_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom