Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,455 Reaction score 5,134 Jul 1, 2026 #1 Mie ni mpenzi sana wa picha za kuchora kwa mkono, picha za ubunifu kuliko za kuchora kitumia programu au mashine. Kuna picha zinachorwa na wasaanii wa uchoraji mpaka mwenyewe unabaki kuwaza huyu mtu aliwaza nini? Wewe unapenda picha gani, au bora picha. Tupia picha zako kali za kuchora kwa mkono au mashine tuburudishe macho.
Mie ni mpenzi sana wa picha za kuchora kwa mkono, picha za ubunifu kuliko za kuchora kitumia programu au mashine. Kuna picha zinachorwa na wasaanii wa uchoraji mpaka mwenyewe unabaki kuwaza huyu mtu aliwaza nini? Wewe unapenda picha gani, au bora picha. Tupia picha zako kali za kuchora kwa mkono au mashine tuburudishe macho.