Unapenda sigara gani ?mi napenda dunhill, Chesterfield na Winston

Unapenda sigara gani ?mi napenda dunhill, Chesterfield na Winston

Bado hamjui utamu wa nyota. Zile fupi hazina vichungi unawashia popote
 
Mnaua mapafu jamani
watermark.jpg
 
Vp kuna mwenye ujanja wa kusafisha meno yaliyochafuliwa na sigara
 
Back
Top Bottom