ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #201
😅😅 kwamba saivi kalewaAmeshasema akilewa mmuache
Anasema watu wagome kuzaliana🤔Tunahitaji kuzaliana sababu ya survival ya specie yetu, labda useme tupunguze idadi au kuwe na sheria nani anastahili kuzaa ukitimiza vigezo fulani
Sasa si watu wataishaAnasema watu wagome kuzaliana🤔
Ajabu hii aisee muhimu mtu anaeyaka kuzaa azae watoto anaoweza kuwalea vizuriSasa si watu wataisha
Dah, sawa mkuu. Pamoja sana.It was a question
😁😁😁Ubaya sipo kanda ya ziwa..
Au nikatege kule nini.. 🤣😂
Wale watoto waliouwawa na vita kule Gaza, Iran, Ukraine na wao ni baraka sio?Watoto ni baraka kutoka kwa Mungu Mwenyezi
👍I don't like them I don't want them😆😆I was so stubborn to my parents
😯😯😯Huyu si ni mdada lakini 🤔
Unashangaa nini😂
❤️Napenda watoto na watoto wananipenda , pia nalea kituo cha watoto yatima
Wewe ni hata najua?
Yes ni mimiWewe ni hata najua?
MhmmYes ni mimi
Yes ni mimi
Nilishtuka sana kwa hisia kali nikahisi huyu ni binti yangu , nahisi hii I'd yako niliiweka ignore kimakosa🤔Yes ni mimi
Siku zote hizo hufahamu kumbeMhmm