Unapendekeza gari ipi kati ya IST, Runx, Ractis au Allex?

Unapendekeza gari ipi kati ya IST, Runx, Ractis au Allex?

Wakuu naomba mnipe mawazo kidogo kati ya hizi gari ipi itafaa kwa mizunguko ya mjini tu, ukizingatia muonekano na ulaji wa mafuta
Jibu ni IST.
Hicho ndio chuma kinachotamba zaidi mijini kwa sasa.

Suala la muonekano ni suala binafsi, ni choice yako. Kama kuoa mke vile. Jiulize nafsini mwako, unapenda muonekano upi.
 
Zota zina injini aina moja, nz family. Kwahiyo tofauti kubwa ni body tuu. So utachagua kwa kigezo cha body maana perfomance zinafanana. Kwangu ningechukua Run x maana ina muonekano maridadi kuliko hizo nyingine
 
Chukua run x au allex
Brother,

Hii ni gari moja, sema wametofautisha tu majina.

Yaani the earlier model (allex) was simply tweaked kidoogo.

Kwahiyo toyota modified the back storage compartment with an upward-swinging door.
Ndipo sasa the new modifications ikaleta the birth of Corolla FX hatchback; ambayo was later assigned na a new brand name, yaani Runx
 
Back
Top Bottom