Unapendelea chakula gani unapofuturu

Nimekula migahawa tofauti tofauti mwezi huu; kwenye uji wana feli sana. Mimi ni muumini wa Viungo hata chai isiyo na mdarasini,iliki ama karafuuu una anzaje anzaje ninywesha
Hahaha umetishaaa sanch' chungu cha mwisho itabidi tunywe chupa nzima za uji..lol
 
Hahaha umetishaaa sanch' chungu cha mwisho itabidi tunywe chupa nzima za uji..lol
hahaha na uwezi amini sijui nini hiki; kila siku napiga vikombe si chini ya 3 mpaka 4 na apo ni sababu uji wao unakuwa siyo wa quality iyo nayotaka Mimi.

Usijali mpaka idd tupikie pilau lenye binzal masal na gigilan kama zote.
 
Wewe unafaa kabisaa kukaribishwa asee,..unakula mpaka mpishi naenjoyy😍😍
 
Wewe unafaa kabisaa kukaribishwa asee,..unakula mpaka mpishi naenjoyy😍😍
Asikuambie mtu kwenye biashara ya chakula ukiwa na unique yako taste unapika vizuri; mtu atatoka uko alipo atavuka migahawa mingi njiani kufuata chakula chako

Kuna mama mmoja magomeni makuti ana pika wali maharage wa nazi na samaki sio pouwa Dada angu. Apo jioni kuanzia saa mbili usiku watu hawa hesabiki.

Iki nitokeaga mida ya saa mbili mbili nipo mitaa iyo ya magomeni lazima ni kali ubwabwa wake wa nazi na maharage na samaki.
 
😂😂😂😂Hatarii fayaa...mapishi ubunifu na manjonjo flan flan hivii,.hapo usikute ni kitu kiduchu tuu kakiongeza basi watu mkiwa ofisini mnawaza wali wa migomigo woiii
 
😂😂😂😂Hatarii fayaa...mapishi ubunifu na manjonjo flan flan hivii,.hapo usikute ni kitu kiduchu tuu kakiongeza basi watu mkiwa ofisini mnawaza wali wa migomigo woiii
haha ni hatari faya kweli; pale mabibo hostel kuna mpemba anapika chipsi wanafunzi wanajaa kweli mtu yuko radhi asubir dk 30 wakati vibanda vya chipsi ni vingi. Jiulize mpemba anaweka nini kwenye chipsi? Udambwi dambwi unasaidia sana ktk chakula.

Siku mambo yakikaa vizuri itabidi ni sett location yangu amazing, siku iyo ikiwadia ntaja omba maushauri toka kwako. Mbunge wa kibaha ndio imemtajirisha yule mchaga na alianza kimasihara
 
Naisubiri hiyo siku kwa humu...
 
green tea
chapati za mayai
maharage ya viungo+nazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…